Posts

Showing posts from May, 2017

Explain how remote sensing is applicable for weather forecasting.

Image
QUESTION;    Explain how remote sensing is applicable for weather forecasting. Batton (1973) “Remote sensing refers to the actuaries of obtaining information about an object by a sensor without being direct contact with it. It real in of meteorology, the information of interests includes, among other, the location and development of weather such as rainstorms, tropical cyclones, cold and warm fronts.” Paul (2006) argue that “Remote sensing is collection of data by detecting the energy that is reflected from earth. Thise sensor can be on satellite or mounted on aircraft.” According to Abdulrahaman (2010) “Remote sensing is the collection of information relating to object without being physical in contact with them.” Remote sensing is the science of obtaining information about object or areas from a distance, typically from aircraft or satellite. According to Cambridge Advance learners (2002) “Weather forecasting is application of science in technology to predict ...

isimu linganishi ,kazi ya isimu linganishi,majukumu ya isimu linganishi.

Katika kazi hii tumejadili dhana ya isimu linganishi kwa kuangalia maana ya isimu linganishi kama ilivyoelezwa   wataalam mbalimbali, malengo yake na jinsi inavyofanya kazi katika kulinganisha lugha. Matinde, ( 2012), anaeleza kuwa isimu linganishi ni tawi la isimu linalochunguza na kuchanganua usuli na uhusiano uliopo kati ya lugha mbalimbali. Massamba, (2009), anaeleza kuwa isimu linganishi ni taaluma ya isimu ambayo lengo lake hasa ni kujaribu kuonesha sifa bia za lugha mbalimbali au familia mbalimbali za lugha. Wanjara, (2011), anafafanua maana ya isimu linganishi   kwa kueleza kuwa ni tawi la isimu linalofanya uchanganuzi wa lugha mbili au zaidi ili kuzilinganisha na kuzilinganua. Hivyo, isimu linganishi ni tawi la isimu ambalo lengo lake mahususi ni kufanya uchunguzi wa lugha mbalimbali ili kuweza kuzilinganisha na kuzilinganua, ili kuonesha kufanana na kutofautiana kwa vipengele mbalimbali vya lugha hizo na kuziweka lugha hizo katika makundi kutegemeana na ...